aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, October 27, 2013

BAADA YA SHOW YA FIESTA DAR KUBUMA HAPO JANA....DIAMOND, NEY WA MITEGO, DAVIDO NA MAHOMBI KUPIGA SHOW YA BURE NDANI LEADERS CLUB LEO ..!



Kutokana na kutokea hitilafu ya umeme Alfajiri ya leo kwenye show ya Serengeti Fiesta Dar, iliyopelekea baadhi ya wasanii waliokuwa wakitarajia kupanda jukwaani kutumbuiza akiwemo Davido, Mohombi, Diamond, Nay wa Mitego na wengine kushindwa kupanda, leo kuanzia saa tisa, wasanii hao watapanda tena jukwaani kuzikonga nyoyo za mashabiki wao bila kiingilio chochote.
  Ni katika uwanja ule ule, jukwaa lile lile la Serengeti Fiesta Dar es Salaam ambapo Diamond,Davido,Mohombi pamoja na Nay wa Mitego watapanda kuanzia saa 9 jioni mpaka saa 12.Show hiyo ya bure itapambwa pia na bendi ya Twanga Pepeta.
 

No comments:

Post a Comment