aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, October 23, 2013

"NAIHESHIMU BONGO FLEVA KWASABABU IMENIPA HELA, GARI NA NYUMBA MPAKA SASA ".....RICH MAVOKO



Hit maker wa Roho yangu, Rich Mavoko amesema ameanza kupata mafanikio makubwa katika muziki wake baada ya kununua gari aina ya Nissan pamoja nyumba ambayo bado anaendelea kuijenga mkoani Morogoro.
mavoko1Nyumba ya Rich Mavoko ambayo ipo Morogoro
Sina cha kusema muziki unalipa, nyumba yangu ni kubwa sana na pia nimejaribu kuonyesha ni mafanikio gani ambayo nimeyapata mpaka sasa. Kwahiyo namshukuru Mungu na mashabiki ambao wananiwezesha,” amesema Mavoko.
6eb5f698325811e38d3d22000a9e17ac_7 Gari ya Rich Mavoko.
Wapo ambao walipata bahati kama yangu wakashindwa kuitumia, kwa mimi nimetumia nafasi niliyoipata, ndio maana nafanya mambo makubwa kama ninavyoingia gharama ya laki 8 kwajili ya mavazi kwenye shoo zangu kubwa. Kila show kubwa natoa laki 8 kwa mbunifu wangu.”
Aliongeza kuwa muziki hauna bahati bali ni kujituma.

No comments:

Post a Comment