aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, October 31, 2013

MWIGIZAJI ASHELY TOTO KUTOKA KENYA INASEMEKANA NDIO SABABU MOJA WAPO YA NDOA YA BOB JUNIOR KUVUNJIKA.

 
Ashely Toto in German
Hapa Bob Junior Akiwa Mombasa na Ashley Toto hivi Karibuni
Hapa Bob Junior Akiwa Ujerumani na Dada Ashley Toto
Wakila Raha Ujerumani Frankfurt

Wakiwa Ujerumani Mall Wakifanya Shopping
 
Ashley Toto Ni Msanii wa movies kutoka Kenya ambae makazi yake ni Ujerumani ila kwa sasa yupo Mombasa kwa mapumziko ..Mnyetishaji wa habari ametuhabarisha kuwa wawili hawa wapo mapenzini kwa muda mrefu sana hata alipokuwa Ujerumani Bob Junior huwa anaenda huko kama baadhi ya picha zinavyoosha ..Pia inasemekana kuwa baada ya Mwana Dada huyu kuja Mombasa kwa mapumziko Bob Junior alienda Matembezi huko na Kukaa kwa muda wa week moja akiwa nae na baadae Mwana dada huyo Mrembo alimtafutia Show mbili Huko Mombasa ...Inasemekana ndio Sababu mojawapo ya mke wake kuona wivu wa mapenzi na kuamua kuachana na Bob junior..

No comments:

Post a Comment