aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, October 28, 2013

"KUOA KWANGU BADO NI KITENDAWILI, MNAOSUBIRI HARUSI YANGU MTASUBIRI SANA"...RAY

STAA wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema anainjoi kuishi maisha ya ubachela hivyo haoni umuhimu wa kuoa. 
Vincent Kigosi ‘Ray’.
Akitema mbili tatu mbele ya kinasa sauti cha Stori, Ray aliyetamba kwenye sinema ya Ramadhani, alisema kwenye maisha yake anapenda zaidi kuwa bachela tofauti na wasanii wenzake ambao ndoa wanaona ni kitu cha haraka na kukipa kipaumbele.
Napenda maisha haya, sina mpango wa kuoa kwa sasa, niko kivyanguvyangu na suala la kuoa kwangu bado ni kitendawili ambacho bado sijakipatia majibu,” alisema Ray au The Greatest.

No comments:

Post a Comment