aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, October 30, 2013

HII NI VIDEO YA YULE MGANGA ALIYEKAMATWA NA KIGANJA CHA BINADAMU KIKIVUJA DAMU HUKO MWANZA..!!



Watu watatu wakiwemo waganga wawili wa jadi wamekamatwa na polisi katika eneo la Igombe Tx, jijini Mwanza wakiwa na kiganja cha mkono wa kulia unaoaminika kuwa wa binadamu. 


Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, kamishna msaidizi wa polisi Joseph Konyo amesema tukio hilo limetokea eneo la kati ya ziwani na nyuma ya uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya raia wema kuwapa taarifa za siri.

No comments:

Post a Comment