aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, October 28, 2013

ANGALIA HAPA REMIX YA 'MY NUMBER 1' YA DIAMOND NA DAVIDO ILIVYONOGA HAPO JANA PALE LEADERZ CLUB...!!


Baada ya kuenea habari kwamba Diamond Platnumz amemshirikisha Davido kwenye remix ya wimbo wake, My Number na tayari jana wamefanya video yake, wakali hao wawili waliwaonjesha wakazi wa Dar es Salaam kwenye siku ya pili ya Fiesta jana jioni katika viwanja vyaLeaders. 

Tazama video hapa.

No comments:

Post a Comment