aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, October 2, 2013

HUU NDIO MWONEKANO MPYA WA AGNESS MASOGANGE AKIWA URAIANI BAADA YA KUTOKA MAHABUSU NCHINI AFRIKA KUSINI..!!


Pichani juu ni taswira mbalimbali za muonekano mpya wa Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ ambaye kwa sasa yupo uraiani baada ya kufutiwa mashitaka yaliyokuwa yakimkabili ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya crystal methamphetamine yenye thamani ya shilingi bilioni 6.8, Julai 5, mwaka huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo jijini Johannesburg, Afrika Kusini.

No comments:

Post a Comment