aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, October 2, 2013

WEMA AMWAGA MACHOZI MARA BAADA YA MAGAZETI KUMWANDIKA KUWA AMEHUKUMIWA KUNYONGWA NCHINI CHINA....HIKI NDICHO ALICHOSEMA..!!



C.E.O wa kampuni ya Endless Fame Film maarufu kma Wema Sepetuameonekana kuchukizwa na kitendo cha kuchafuliwa kwa jina lake katika moja ya magazeti ya udaku ya hapa nchini.
Mapema asubuhi ya leo kupitia account yake ya Instagram mwanadada Wema alitupia picha ya gazeti hilo lililo mchafulia jina kwa kumuandika kuwa "Wema Kunyongwa China Awaomba Watanzania Wamuombee".Pia dakika chache zilizopita kupitia account yake hiyohiyo ya Instagram wema amefunguka zaidi kwa kitendo hicho cha kuchafuliwa jina na kuandika hivi ... 


No comments:

Post a Comment