aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, October 2, 2013

WAKENYA WAINGIA 'ADOBE PHOTOSHOP' NA KUTENGENEZA PICHA CHAFU ZA YULE DADA WA AL SHABAAB ALIYEWAVAMIA....


Baada  ya  shambulizi  la  Al  shabaab  nchini  Kenya  lililoongozwa  na  Mwanamke Samantha Lethwaite  na  kuua  wakenya  69,wananchi  wa  nchi  hiyo  wameamua  kuhamishia  hasira  zao  mtandaoni  kwa  "kumpika"  huyu  dada  akiwa  katika  pozi  la  kimahaba...

Katika  picha  hizo  zilizoanza  kusambaa  juzi, mdada  huyo  anaoneka  akifanyishwa  mapenzi  porini  huku  baadhi  ya  picha  zikimuonesha  akiwa  katika  pozi  la  ukahaba  huku  akiwa ameshika  bunduki...

Kwa  nini  wakenya  wameamua  kufanya  hivyo?:
Maamuzi  hayo  yamechukuliwa  ili  kumalizia  hasira  zao  dhidi  ya  mwanamke  huyu  ambaye  ni  gaidi  wa  kimataifa  anayesakwa  kila  pembe  ya  dunia. 

No comments:

Post a Comment