Producer Pharrell Williams alishawahi kukiri kuwa alipata maumivu makali sana wakati anafuta tatto alizochora wakati wa ujana wake na akajutia kitendo hicho. Alikuwa muoga wa magonjwa atakayopata baada ya tattoo kufutwa na mionzi mikali kwenye mwili wake inayoweza kusababisha saratani na magonjwa mengine.
Picha Zingine Ziko Hapa
Picha Zingine Ziko Hapa


Huyu ni mwigizaji Matt" Damon alijichora tattoo kabla hajawa B list Super Star wa filamu marekani na kuamua kuifuta ili kujenga heshima zaidi.



50 Cent kashazoea kufutwa na kuchora tattoo zingine kwenye maisha yake. Akiwa na jambo jipya huongeza tatto anavyo jiskia.
No comments:
Post a Comment