Shilole kama kawaida

Shilole akiwa kazini baada ya kutoa mwaliko wa kudance na shabiki
Juma Nature na timu yake..
Chege na Temba
Godzilla…
Cassim Mganga
Young Killer Mwanza Mwanza

Stamina…
Kingzillah…
Mr Blue 



Ay

Mwana FA








J Martins wa Nigeria nae alikuwepo kufanya showa mbapo kama ilivyotekea kwa show yake ya kwanza ya Fiesta pale Tanga, J aligawa zawadi kwa fans aliowaita yeye mwenyewe kwenye stage…. Tanga aligawa cheni pamoja na pesa na Moshi kagawa saa na pesa kwa mashabiki wawili tofauti.






Weusi kwenye stage

Hii picha ya juu na ya chini ni shangwe walilopigiwa Weusi wakati wakiwa kwenye stage

Dullysykes…

Rich Mavoco

Jambo Squad… Mamong’o

Show ilihostiwa na B12 na Dj Fetty kutoka XXL ya Clouds FM.

Ney wa Mitego

Linah Sanga…


Christian Bella…

Menina akiwa backstage baada ya kufanya show…

Ally Nipishe
Mmetisha watu wangu wa nguvu Moshi…. hongereni kwa kumaliza ticket aisee! daaah



No comments:
Post a Comment