Bibi mwenye miaka 99 aliyeacha shule akiwa high school mwaka 1932 hatimaye amemaliza diploma yake.
Audrey Crabtree alikuwa amezungukwa na familia yake na marafiki zake siku ya jumatatu wakati shule ya jamii iitwayo Waterloo wakimpongeza kwa kufaulu sana kwenye diploma yake wakati wa kikao cha elimu cha bodi.
Report zinasema kuwa Crabtree aliacha shule akiwa senior high school mwaka 1932 kutokana na majeraha na kumhudumia bibi yake.Baada ya hapo alienda kuendesha biashara zake kwa kama miaka 30 hivi
Kwenye kikao Crabtree alipata diploma, nakala ya ripoti yake ya mwisho na ya kumpongeza kwa kuwa mwanafunzi bora hapo Waterloo East High School. Pia alipata zaidi ya card 100 handmade za kumpongeza kutoka kwa wanafunzi wa middle school.
No comments:
Post a Comment