aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, October 5, 2013

VIDEO: Watu 4 wauawa ktk vurugu kufuatia mauaji ya msafara wa Sheikh, Mombasa



Watu wanne wameuawa na wengine wanauguza majeraha katika hospitali mbali kufuatia rabsha mbaya zilizotanda mjini Mombasa, mchana mzima. Biashara zilifungwa na kila mtu ikiwa kukimbilia maisha yake, pale machafuko yalipochacha kufuatia kuuawa kwa Sheikh Ibrahim na wenzake wanne, jana usiku na watu wasiojulikana.

No comments:

Post a Comment