aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, October 13, 2013

VIDEO: ATEMBEA UCHI KWENDA SHULENI KUMUONYA MWALIMU MWENYE NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA MUME WAKE....



Mwanamke mmoja huko Bahamas alienda kwenye shule ya serikali AF Adderley akiwa uchi wa mnyama kumuonya mwalimu mwenye uhusiano wa kimapenzi na mume wake.

Aliingia darasa lenye wanafunzi under-age ambako mwalimu huyo alikuwa anafundisha, kumwambia yule mwalimu "UNAFIKIRI MUME WANGU ANAWEZA KUNIACHA? AACHE MWILI MZURI KAMA HUU?"

Angalia video chini


No comments:

Post a Comment