aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, October 19, 2013

"NAPENDA KUVUTA SIGARA ILI KUONDOA MAWAZO".....WEMA SEPETU



STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amekiri kuwa huwa anatumia sigara ‘fegi’ ili kuondoa mawazo.
Wema alifunguka hayo juzikati kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa na Runinga ya East Africa ambapo alikuwa akifungukia maisha yake likiwemo suala hilo la kuvuta sigara.
“Huwa navuta sigara pindi ninapokuwa na mawazo, nikivuta huwa inanisaidia kupunguza na kunifanya niwe vizuri,” alisema Wema.

No comments:

Post a Comment