aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, October 13, 2013

JACK WOLPER SASA ACHUNGULIA KABURI, YUPO HOI KITANDANI.....AOMBA WATANZANIA WAMUOMBEE APONE..!!

 
Msanii wa Filam Tanzania ajulikanae kwa jina la Wolper yuko hoi Hospitalini huku akiomba Dua kwa wapenzi wake wamuombee ili apone haraka. Wolper ameripot taarifa za kuumwa kwake katika akaunti yake ya facebook na kuainisha ugonjwa unaomsumbua ni Maralia na ujumbe huo umesomeka hivi:clip_image002

No comments:

Post a Comment