aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, October 11, 2013

Huwezi kuamini alichofanya huyu binti msibani!

dance-wena (1)
Waombolezaji walikua wamejaa katika msiba wa mpiga misele (drifter or spinner) maarufu Bongani Makhubo (40) jijini Pretoria, Afrika Kusini.Baada ya mazishi, wapiga misele wenzie wakaanza kupiga misele na magari yao kama kumtolea heshima marehemu, huku wahudhuriaji wakishangilia.
Ghafla binti huyu akavua chupi yake na kuipunga hewani huku akidansi katikati ya magari yanayozunguka kupiga misele
Baadhi ya waombolezaji walikerwa na kitendo hicho lakini cha ajabu wengi walimuacha aendelee na walikua wakishangilia

No comments:

Post a Comment