aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, October 3, 2013

HUU NDIO MWONEKANO MPYA WA NAKAYA AKIWA NA MIMBA...MCHEKI HAPA..

Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva ambaye pia ni dada wa aliyekuwa Miss Tanzania 2005,Nancy Sumari,Nakaaya Sumari amepost picha mbalimbali mtandaoni akiwa na ujauzito ambao unaonyesha atajifungua muda wowote kutokana na ukubwa wake... mcheki hapa..



 Watu mbalimbali wamempongeza Nakaaya na kumtakia kila la heri na ajifungue salama huku yeye mwenyewe akiandika Sasa huku ndio kuchoka...




No comments:

Post a Comment