aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, October 8, 2013

HIVI NDIVYO NANDO ALIVYOSHEREKEA BIRTHDAY YAKE NA WASHIRIKI WA BBA


Katika hali ya kushangaza keki ya Nando iliwekwa picha ya bangi ambapo mashabiki wake walijiuliza kama kweli jamaa ni mtumiaji wa hiko kitu?


Mshiriki wa BBA'The Chase'2013 kutoka Bongo Ammy Nando amesheherekea siku yake ya kuzaliwa na washiriki wenzake wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali ambao ni Beverly wa Nigeria,swahiba wake Bimp wa Ethiopia na Angelo wa Sauzi.


No comments:

Post a Comment