aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, October 4, 2013

HIVI NDIVYO DIAMOND ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA FAMILIA YAKE


Tofauti na bday ya mwaka jana alisherehekea na washkaji na watu mbali mbali, mwaka huu Diamond Platnumz ameamua kufurahia siku yake yakuzaliwa akiwa nyumbani kwake pamoja na ndugu zake. Tukio hili lilitokea juzi maeneo ya Sinza Mori anapoishi Diamond na kupata surprise kibao kutoka kwa dada zake pamoja na mchumba wake Penniel. 


Picha zaidi ingia HAPA

No comments:

Post a Comment