aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, October 14, 2013

HII NDO 'WHEN U DO ME I DO U' BAADA YA WEMA NA DIAMOND KUPIGA PICHA ZA KUMUUMIZA PENNY,SASA PENNY NAYE ALIPIZA KISASI...!!

Raheeem akiwa kwenye pozi na Mwanadada Penny

Ama Kweli Mapenzi Kizunguzungu na Ukuyafuatilia Unaweza Ukazimia.Mapenzi ni kama Mchezo wa Karata Ukukosea Kwa Mastaa anakupiku Mwenzako.Hii ni Baada ya Mwanadada Peeny Kuoneakana na Mshakaji ambaye Tulianza Kumuongelea Humu
Humu "Raheem Da Prince" Mshkaji na Brothermen aliyemaliza Chuo Kikuu Pale University Of Dar-Es-Salam.Check Picha Yao kwa Pamoja When You DO Me I Do You


Raheem Akiwa na Wema Sepetu Enzi Hizo Baada  ya Kuachwa na Diamond

No comments:

Post a Comment