aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, October 6, 2013

DIAMOND ATABIRI KIFO CHAKE ....HUU NDIO WIMBO AKIELEZEA KIFO CHAKE JINSI KITAKAVYOKUWA...!!



Diamond ametumia melody inayofanana kidogo na wimbo wake “Kesho” kutengeneza wimbo huu.

Ni  wimbo  ambao  umevuta  hisia  tofauti  miongoni  mwa  mashabiki wake  hasa  wale  wanaoamini  kwamba  mafanikio  yake  yanatokana  na  nguvu  za  pembeni ( freemason )..

Wapo  wanaojaribu  kutabiri  siku  za  mwisho  za  msanii  huyu  kwa  kulinganisha  na  kifa  cha  utata  cha  msanii  Kanumba  ambaye  naye  alitoa  wimbo  kama  huu  pamoja  na  filamu  ya  kifo  chake  siku  chache  kabla  ya  mauti  kumkuta...

Haya  ni  baadhi  ya  mashairi  ya  wimbo  huo: Vipi Maneke atanililia...??  
Je wasanii wenzangu wataniimbia..??  
Ama litafutika jina langu...??
  Na nyimbo zangu hawatasikia..??  
Vipi wasafi watanililia....??  
Je ndugu rafiki watahudhuria..??   
Ama nitakapokufa Sina changu..??
  Hata mama yangu watamkimbia...??

Pata nafasi ya kuusikiliza na ku-download hapo chini:

No comments:

Post a Comment