aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, October 4, 2013

CHEKI PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA MUZIKI WA SNURA "NIMEVURUGWA"



  Msanii mwenye Majanga yake na kisha Akavurugwa anaitwa SNURA alikuwa akishoot video yake mpya inayoitwa NIMEVURUGWA maeneo ya Kigamboni sehemu moja inaitwa Kijiji Beach. Video hii ilikuwa ikisimamiwa na Dir Meja. 



Mtu mzima Dude aka Yahaya nae alikuwepo kwenye video ya Snura Nimevurugwa sijui kwenye video atakuwa amefanya nini ndani

No comments:

Post a Comment