aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 4, 2013

wawekezaji zanzibar wafutarisha kijiji cha paje mkoa wa kusini unguja



Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslim Hija (wa kati alievaa koti) akiungana na mafsa mbalimbali wa Mkoa huo katika futari iliyoanaliwa na Ivan Kodeh Mejeja wa Hoteli ya Cristal Resort ya Paje iliyofanyika huko Hoteli kwake Paje Mkoa wa Kusini Unguja.

Mke wa Meneja ya Hoteli ya Cristal Resort ya Paje, Bi. Deva Monique akiwa na mwanawe Thalia akiungana na wanakijiji cha Paje katika futari iliyoandaliwa Mumewe Ivan Kodeh Mejeja wa Hoteli ya Cristal Resort.
Mejeja wa Hoteli ya Cristal Resort ya Paje Bw. Ivan Kodeh, akitoa shukran mara baada ya futari aliyowandalia, huko Hotelini kwake Paje.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslim Hija na Mejeja wa Hoteli ya Cristal Resort Ivan Kodeh na wananchi wa Paje wakitikia dua mara baada ya futari.

Familia ya Ivan Kodeh Mejeja wa Hoteli ya Cristal Resort nayo ikijumuika na wananchi kuitikia dua mara baada ya kuftari huko Hotelini kwao Paje Mkoa wa Kusini Unguja. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar) .

No comments:

Post a Comment