aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 28, 2013

PICHA:TAZAMA KAMPUNI YA MAREHEMU KANUMBA IKIWA LOCATION INAFANYA KAZI....

Kampuni ya filamu za Kibongo Kanumba The Great Films imeingia mzigoni kuandaa filamu mpya iitwayo WONDER GIRL ikiwashirikisha waigizaji mahiri wa tasnia hiyo.
Msanii mpya Lilian Mamuya na Rammy Galis
Wasanii walicheza kwenye filamu hiyo ni pamoja na Seth Bosco ambaye ni mdogo wa marehemu Kanumba, Lilian Mamuya,Rammy Galis, Samofi, na Keita.
Kampuni ya Kanumba The Great Films kwasasa ina inaibua vipaji vipya katika
 \
Zakayo Magulu akisoma scrip
Pia katika movie hii kuna watoto ambao wameonesha umahiri mkubwa katika sanaa ya uigizaji hivyo inaashiria kua filamu hii ikitoka itakua gumzo la jiji.

Novatus Mayenja Production Manager

No comments:

Post a Comment