Yani hii dunia ina vitu vingi na hata vingine hatuvijui, ni furaha yangu kukujulisha kwamba moja kati ya mambo mapya machoni mwangu ni hili bwawa la kuogelea ambalo tofauti na mabwawa mengine, hili halina maji bali lina mvinyo mwekundu yaani Red Wine.
Lipo nchini Japan na wamiliki wa hotel ambayo hii swimming pool ipo walipata idea ya kulijenga kutoka kwa malkia wa Misri enzi za kale Qleopatra ambaye inasemekana alikuwa na Kawaida ya kuoga kwenye mvinyo ili kurutubisha ngozi yake.
Mvinyo huo unamwagika toka kwenye chupa unayoiona hapo kwenye picha ina urefu wa mita 3.
6
No comments:
Post a Comment