The main purpose of this Blog is to share my knowledge with the world..You Are Warmly Welcomed
Contacts:husseinngenje@yahoo.com
+79264327067
Ads 468x60px
Wednesday, August 7, 2013
Picha za mwili wa mfanyabiashara maarufu alieuwawa Arusha
Mfanyabiashara maarufu huko Arusha anayejulikana kwa jina la Erasto Msuya ameuawawa karibu na maeneo ya KIA. Erasto ni mfanyabiashara maarufu wa Tanzanite na mmilikiwa SG resorts Arusha.
No comments:
Post a Comment