Baada ya tukio la moto la leo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA jijini Nairobi, Kenya, lililosababisha uwanja huo kufungwa kwa muda na kumfanya Diamond Platnumz aliyetua alfajiri ya leo akitokea Afrika Kusini kukwamwa, Cocacola imemchukulia ndege binafsi itakayomleta Dar es Salaam. Kupitia Instagram, Diamond ame..Read More http://www.bongo5.com/cocacola-wamchukulia-diamond-planumz-private-jet-kutoka-nairobi-hadi-dar-08-2013/
Wednesday, August 7, 2013
Cocacola wamtumia Diamond “private jet” imrushe Dar baada ya kunasa Nairobi kufuatia moto JKIA
Baada ya tukio la moto la leo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA jijini Nairobi, Kenya, lililosababisha uwanja huo kufungwa kwa muda na kumfanya Diamond Platnumz aliyetua alfajiri ya leo akitokea Afrika Kusini kukwamwa, Cocacola imemchukulia ndege binafsi itakayomleta Dar es Salaam. Kupitia Instagram, Diamond ame..Read More http://www.bongo5.com/cocacola-wamchukulia-diamond-planumz-private-jet-kutoka-nairobi-hadi-dar-08-2013/
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment