Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Dipromasia, wakijisevia futari wakati wa hafla hiyo ya
futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mama Asha Bilal, kwa wanafunzi hao.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Dipromasia, wakipata futari wakati wa hafla hiyo ya
futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mama Asha Bilal, kwa wanafunzi hao.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akiwa katika picha za upendeleo na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Dipromasia,
baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye
Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha
Bilal, akizungumza na wananfunzi wenzake wa Chuo cha Dipromasia, baada ya kufuturu
wakati alipowaalika katika futari ya pamoja kwenye Makazi yake Oystabay jijini
Dar es Salaam.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Kiume wa Chuo cha Dipromasia,
baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye
Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Kike wa Chuo cha Dipromasia, baada
ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye
Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment