aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 4, 2013

KISOMO CHA KUMWOMBEA MAREHEMU SAID JETHA MWANAHANJI NA FUTARI YA PAMOJA DMV.




kutoka kushoto ni Habiba na mwanae Mrs Mtalemwa, Farida na Asha katika picha ya 
pamoja Jumamosi Aug 3, 2013 wakati Farida na Habiba na familia zao waliposoma 
kisomo cha kumuombea marehemu baba yao Mzee Said Jetha Mwanahanji aliyefariki 
July 2011, Dar Es Salaam, Tanzania. Kisomo kilifanyika Silver Spring, Maryland na
 kuambatana na futari ya pamoja iliyoandaliwa na Farida Catering ambayo inamilikiwa 
na Farida. 

Baada ya kisomo Ally Mussa (wapili toka kushoto mwenye mic) aliongoza swala ya 
magharibi kabla ya kufuturu iliyofanyika Silver Spring, Maryland

WanaDMV wakiendelea na swala ya magharibi.

Swala ikiendelea.

Juu na chini wakina mama wakiendelea na swala.


Swala ikiendelea baada ya kisomo cha marehemu mzee Said Jetha Mwanahanji

Kutoka kushoto ni Seif, Shekh Omar na Mpwa katika picha ya pamoja kabla ya kisomo 
kuanza.

No comments:

Post a Comment