aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 5, 2013

HILI NDO JAMBAZI SUGU LILILONUSURIKA KIFO KIMARA TEMBONI JIJINI DAR

Jambazi akiwa hoi katika hospitali ya Mwananyamala baada ya kupewa kichapo na wananchi wenye hasira kali.
KIJANA mmoja ambaye hajafahamika jina lake anayedaiwa kuwa ni jambazi amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali eneo la Kimara jijini Dar es Salaam. Kijana huyoakiwa na wenzake wawili waliokuwa na silaha za moto tayari kwa kwenda kufanya uhalifu lakini kabla mpango wao haujakamilika polisi waliingilia kati. Haikuwa kazi rahisi kuweza kumkamata jambazi huyo kutokana na majibizano ya risasi kati yao na polisi. Hata hivyo mmoja wao (pichani juu) alitiwa nguvuni wakati wenzake wawili wakitokomea.

No comments:

Post a Comment