Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba. Hivi ndivyo huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya (maarufu kwa jina la Punda) ni hatari sana kwa afya ya Binadamu
kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.
No comments:
Post a Comment