The main purpose of this Blog is to share my knowledge with the world..You Are Warmly Welcomed
Contacts:husseinngenje@yahoo.com
+79264327067
Ads 468x60px
Monday, August 5, 2013
EXCLUSIVE: MWINYI KAZIMOTO AKIWA NA RAUL GONZALEZ BLANCO MAZOEZINI QATAR - AONGEA RASMI KUHUSU HATMA YAKE
Kiungo wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Simba Mwinyi Kazimoto akiwa na Gwiji wa soka wa Hispania na Real Madrid Raul Gonzalez huko Qatar alipokuwa ameenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa. Mtandao huu umepata nafasi ya kuongea na Kazimoto na kwa kifupi ameomba radhi kwa kutoroka - pia amesema amefanikiwa kupata timu huko alipo.
No comments:
Post a Comment