Makamu bingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), Timu ya Azam Fc, wameanza
rasmi ziara ya mechi za kirafiki nchini Afrika Kusini, ambapo leo watakuwa na
kibarua kigumu cha kuumana katika mchezo wake wa kirafiki na Kaiser Chiefs
ambayo inacheza Ligi Kuu ya nchi hiyo (PSL).
Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam, Jaffer Idd, aliyefutana na timu hiyo,
mechi hiyo
inachezwa jijini Johannesburg, leo jioni. Kwa mawasiliano zaidi, Jaffer Idd
anapatikana kwa namba +27788847399.
No comments:
Post a Comment