Shilole akizungumza na Kituo kimoja cha Radio nchini ameelezea kuwa ana taaluma ya Hotel Management na pia mama yake alishawahi kuwa‘mama ntilie’ kipindi cha nyuma na pia Shilole ameshawahi kufanya kazi Peacock Hotel, Florida, na kwa sasa kila kitu kinaenda sawa ni yeye tu mwenyewe wakati wowote anaweza akafungua.
Wednesday, March 19, 2014
SHILOLE AZIDI KUKOMAA NA JIJI, AJA NA “CHUNA BUZI CAFÉ” MGAHAWA MPYA KABISA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment