Akizungumza na tovuti hii, Tino alisema kuwa yeye ni miongoni mwa wanaharakati wanaopinga mapenzi ya jinsia moja nchini na ndiyo maana aliamua kutunga filamu yake inayozungumzia suala la kupinga kitendo hicho ambacho ni kinyume na maagizo ya Mungu.
"Naitaka Tanzania nayo kutunga sheria kama ya uganda ili tukomeshe suala hili kwani likiendelea kulelewa miaka ijayo taifa litakuwa na kizazi kilichopotoka na kutuingiza kwenye vita kali na Mungu ambaye aliwahi kuteketeza Sodoma na Gomola kwa makosa kama haya" alisema Tino

credit to swahilitz
No comments:
Post a Comment