Tangu kuanza kwa ziara yake ya muziki iliyopewa jina la BANGERZ, Miley amekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wake hasa kutokana na mfululizo wa vituko anavyokuwa akivifanya pindi anapokuwa jukwaani, mojawapo ya tukio lililovuta vichwa vingi vya habari na kuandikwa sana mitandaoni ni kitendo chake cha kukutanisha ndimi na mwanamuziki ‘Katty Perry’ alipokuwa akiperform katika ukumbi waStaples Center Los Angels mwezi uliopita.
Tuesday, March 18, 2014
MILEY CYRUS AUMIZA KINYWA CHAKE KWA TATTOO MPYA ALIYOCHORA KWENYE LIPSI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment