hakika hawawatu wanapendana kwa kweli tungoje Ndoa tu sasa kilichobaki……
Team wema nao hawakuwa nyuma kusindikiza furaha hiyo ya hao wawili na waliweza kupost dongo hili likiwa na Picha hiyo hapo Juu, Daaaaahhh ni shida kweli……![clip_image003[8] clip_image003[8]](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgruAZqz3-lJw_ria9Czw5TUEsjGJvAi9NFNHFg3qEXi0tB-v013Eq-IrXV8CvFCvyuLwlmCHtV_zJU9KdXamRmbyzmy8y3eQqMkl8mkdUexjzCrD5CdfP8W5RPJWiqMJR98odLcNe75CM/?imgmax=800)
Kama hukuwahi kuziona picha za mwanzo alizopost wema sepetu akiwa katika muonekano huo mpya zicheki hapa:
No comments:
Post a Comment