Cloud 112
MKALI wa sinema za Kibongo, Mussa Issa ‘Cloud 112’ amemchana mwigizaji Ruth Suka ‘Mainda’ kuwa stori nyingi za filamu nchini haziendani na Mainda na kudai ndiyo sababu za staa huyo kupotea.
“Stori nyingi zinamkataa Mainda, mfano mimi siwezi kuigiza naye kama mke na mume kwani umbile lake na langu haliendani hivyo natoa wito kwa wasanii kumsaidia Mainda sababu ana uwezo mkubwa wa kuigiza,” alisema Cloud 112.
Source: GPL
MKALI wa sinema za Kibongo, Mussa Issa ‘Cloud 112’ amemchana mwigizaji Ruth Suka ‘Mainda’ kuwa stori nyingi za filamu nchini haziendani na Mainda na kudai ndiyo sababu za staa huyo kupotea.
Ruth Suka ‘Mainda’.
Akipiga stori na paparazi wetu, Cloud 112 alisema maprodyuza wanashindwa kumchezesha Mainda katika ngazi muhimu kama ya mke kwani stori zinakuwa zinahitaji watu wenye umbo kubwa.“Stori nyingi zinamkataa Mainda, mfano mimi siwezi kuigiza naye kama mke na mume kwani umbile lake na langu haliendani hivyo natoa wito kwa wasanii kumsaidia Mainda sababu ana uwezo mkubwa wa kuigiza,” alisema Cloud 112.
Source: GPL
No comments:
Post a Comment