Wachezaji wa Simba SC, Hamis Tambwe na Ramadhan Singano 'Messi', leo wamepeleka kilio kwa timu ya JKT Ruvu. Wachezaji hao wameifungia Simba na kuifanya kuibuka kifua mbele kwa mabao 2-0 dhidi ya JKT Ruvu. Tambe alifunga bao la kwanza kwa mkwaju wa penalti kabla ya Messi kuipatia Simba bao la pili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment