Back stage Mujeda,Nay wa Mitego&Rommy J
Dullah planet. on stage
Nyomi ya watu ikisubili toto la kimanyema kwa stage..noma kweli
Haya sasa.......!!!
Mdogo mdogo mashetani yakaanza.....
Umati kama huu unatia hamasa right??
Na tulewe wote sasa..............
Hawa watoto ninapokuwa nao baaasi..lazima kila kitu kiende sawa
Imma akiongoza jahazi mdogo mdogo......
Hawa watoto mashetani ya kikwao yakiwapanda tuu..........
Imma,Dummy,Rama mpauka na Moze Iyobo kwa mbalii
Tuimbe wote sasa
Anaitwa Imma Platnumz.......
Ile michezo yetu ya kuringa ringa sasa
Amekaa..hajakaaa..
Aaah!!hayo matusi bwana.........!!
No comments:
Post a Comment