MKONGWE wa filamu za Kibongo, Yvonney Cherry ‘Monalisa’ amesema sauti ya aliyekuwa msanii wa Bongo Movies, marehemu Zuhura Maftah ‘Malisa’ inamtesa kwani inamrudia akilini mara kwa mara.
Marehemu Zuhura Maftah ‘Malisa’ enzi za uhai wake.
Akizungumza na paparazi wetu siku chache baada ya maziko ya msanii huyo, Monalisa alisema kinachomtesa zaidi ni kwa sababu alikuwa mtu wa mwisho kuongea na marehemu kwenye simu tena kwa muda mrefu na kabla ya saa mbili mbele, Malisa akafariki dunia.“Unajua niliongea naye kwa muda mrefu na ndani muda mfupi, akafariki,” alisema Monalisa.
No comments:
Post a Comment