Ni siku moja imepita toka msanii wa Tip Top Connection Madee kusimulia jinsi alivyokaguliwa mpaka kuvuliwa Tshirt kwenye uwanja wa ndege Johannesburg South Africa baada ya kujulikana kwamba ni Mtanzania.
Hii imetokea siku kadhaa baada ya Wasichana wawili wa Kitanzania kukamatwa na dawa za kulevya kwenye kiwanja hicho cha ndege wakiwa wanatokea Tanzania.
Kama hii stori imekupita unaweza kumtazama Madee akiongea kwenye hii video hapa chini.
No comments:
Post a Comment