The main purpose of this Blog is to share my knowledge with the world..You Are Warmly Welcomed
Contacts:husseinngenje@yahoo.com
+79264327067
Ads 468x60px
Tuesday, August 6, 2013
TASWIRA ZA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA IDD KARIAKOO JIJINI DAR
Kamera ya Global leo ilivinjari katika mitaa ya Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam na kuwashuhudia wakazi wa jiji hilo wakifanya manunuzi mbalimbali kwa ajili ya sikukuu ya Eid El Fitri kama inavyoonekana pichani juu na chini.
No comments:
Post a Comment