MAREHEMU RESTUTA MAYUMA
Ni masikitiko makubwa kwa wanafunzi wa Chuo Cha
Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dodoma kwa
kumpoteza mwanafunzi mwenzao Bi. Restuta Mayuma
ambaye alifariki tarehe 05/08/2013 (Jumatatu) mnamo mishale
ya saa kumi na moja jioni.

Hata hivyo mwanafunzi huyo alikuja dodoma kwa lengo
la kufaya mitihani yake ( katika kipindi hiki ambacho wanafunzi
wa Chuo cha CBE wamekuwa wakiendelea kufanya mitihani yao
ya Special pamoja na ile ya Supplimentary.

Marehemu Restuta, Alikuwa anasoma Diploma , kozi ya
Uhasibu (Accountancy) , ambapo alianza masomo ya
Diploma mwaka wa masomo 2011/2012 na alitakiwa kuhitimu
Elimu yake ya Diploma mwaka 2012/213.Lakini kwa kipindi
hiki alikuja chuo kurudia mitihani yake ya Diploma I .

Akizungumza na blog hii Rafiki wa karibu sana na
Mwanafunzi
huyo (Marehemu Restuta) alisema Marehemu alikuwa
anasumbuliwa na homa za hapa na pale (Malaria) hali ambayo
ilipelekea mpaka kutokea kwa kifo chake.

Tayari Mwili wake umesafirishwa leo kuelekea Mkoani
Dar es salaam eneo la BUNJU kwa ajili ya shughuli za Mazishi
ambapo mwili huo umesafirishwa na Gari la Chuo (CBE) Kwa
kuambatana na WARDEN, Mashauri Machunde (Mwanafunzi CBE)
pamoja na baadhi ya ndugu wa marehemu waliokuwepo mkoani
Dodoma.

Akizungumza kwa njia ya simu, Bw. Mashauri Machunde
(Mwanafunzi CBE) amewataka wanafunzi wote wa CBE
wanaoishi jijini Dar es salaam kijitokeza katika mazishi ya
Mwanafunzi huyo yanayotarajiwa kufanyika kesho nyumbani
kwao "Bunju " Kwa kupanda magari yaendayo Bunju na kushukia
eneo la Bunju "A" kituo kinaitwa Shule au Hospital
(Uliza kwa Mzee Mayuma karibu na Shule ya Sekondari Fanaka)

No comments:
Post a Comment