Hatma ya Cristiano Ronaldo ndani ya Real Madrid imezidi kuleta
mkanganyikobaada ya mshambuliaji huyo kugoma kuthibitisha
taarifa kwamba amekubali kusaini mkataba mpya wa miaka mitano.
mpya wa kuendelea kubaki Bernabeu mpaka mpaka 2018, baada ya
kuongezewa mshahara mpaka kufikia 17million euros (£14.8million)
kwa mwaka baada ya kodi na piawamekubaliana na klabu kuzungumza
juu ya mgawanyo mpya wa haki za taswira.
Ronaldo bado ana miaka miwili kwenye mkataba wake, lakini hivi
Ronaldo bado ana miaka miwili kwenye mkataba wake, lakini hivi
karibuni amekuwa akihusishwa na kutaka kurejea kuitumikia klabu
yake ya Manchester United.
Ronaldo alikaririwa akisema: "Sitothibitisha kitu chochote -
Ronaldo alikaririwa akisema: "Sitothibitisha kitu chochote -
nitaendelea tu kufanya kazi ambayo naifanya kila siku.
"Hatma yangu ndani ya Madrid - Sijui itakuwaje. Kwa muda
"Hatma yangu ndani ya Madrid - Sijui itakuwaje. Kwa muda
huu mie bado ni mchezaji wa Real, kuhusu kitachotokea huko
mbele sifahamu kwa kweli.
"Ngoja tusubiri tuone nini kitatokea - lakini kwa sasa nipo sawa na
"Ngoja tusubiri tuone nini kitatokea - lakini kwa sasa nipo sawa na
mahala nilipo."
Ronaldo apia alizungumzia Gareth Bale na tetesi za usajili wake
Ronaldo apia alizungumzia Gareth Bale na tetesi za usajili wake
kwenda Real.
Madrid wanaaminika wapo tayari kulipa kiasi cha £95m ili kumpata
Madrid wanaaminika wapo tayari kulipa kiasi cha £95m ili kumpata
Gareth Balelakini Ronaldo aliongeza: "Sitotaka kulizungumzia suala
hilo kwasababu mimi sio mtu sahihi kusema kama anastahili kununuliwa
kwa fedha hizo au la - au ni dili nzuri au hapana. Sitotaka kuzungumzia
kuhusu wachezaji wengine."
No comments:
Post a Comment