Producer Kisaka
yake mzaz usiku wa kuamkia jumamosi ya juzi kwa ugonjwa wa presha ktk hospital za
amana dar es salaam.mazishi yatafanyika siku ya juma tatu ktk makaburi ya kinondon..pole
sana kisaka na watanzania wote kwa ujumla. jina la kisaka michael sio jina geni kwa
masikio ya wapenda muzic anatambulika kwa kazi zake kadhaa zilizompa heshima ktk tasnia
ya muziki wa bongo fleva kwan yy ndiye aliyegundua kipaji cha mkali wa bongo fleva Sam
wa ukweli na ndiye aliyerecord albam nzima ya sina raha kutoka kwa sam wa ukweli pia
ndiye producer wa mwanamuziki Dullayo tangu ajitoe ktk studio ya mj amekuwa akifanya
kazi na KISAKA kwa nyimbo kadhaa km twende na mm,mida ya kazi,naumia
roho,nimeamua,wa leo, na nyinginezo kibao.mbali ya hao pia ametengeneza ngoma kibao
km za Easy man-kasoro wewe,salu b & mon g-jipange,Gangwe mobb ft dullayo-dawa
yao,tox star ft spince & salu b-sisemi,na nyinginezo kibao..
HAWA NI BAADHI YA WASANII WANAOFANYA KAZI NA PRODUCER KISAKA
SAM WA UKWELI
DULLLAYO
TOX STAR
INSPECTOR HAROUN
No comments:
Post a Comment