aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 7, 2013

PHOTOS: Diamond Platnumz akwama JKIA baada ya kuzuka moto, alikuwa anatokea Afrika Kusini


Platnumz



















Tukio la moto lililotokea leo alfajiri kwenye uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA jijini Nairobi Kenya, limemsababisha Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz kushindwa kurejea nchini katika muda aliokuwa amepanga. Diamond akionekana mwenye uchovu mkali akiwa kwenye basi lililobeba abiria kwenda hotelini, pembeni yake ni..Read More http://www.bongo5.com/picha-diamond-platnumz-akwama-jkia-baada-ya-kuzuka-moto-alikuwa-anatokea-afrika-kusini-08-2013/

No comments:

Post a Comment