Mshiriki wa shindano la Big Brother Afrika ‘BBA’ Melvin kutoka nchini Nigeria na Dillish wa nchini Namibia wamelala kitanda kimoja huku wakipeana mahaba na kupigana makiss ya kumwaga huku Melvin akimwambia Mnamibia huyo kuwa anampenda sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment