Kutokana kwenye gazeti la telegraph uk A senior Ukip politician has been caught on camera saying Britain should not send aid to “bongo bongo land”, claiming the recipients lavishly spend the money on luxuries.
Godfrey Bloom, an MEP, alirekodiwa akiwa anasema watu ambao wanapokea hii misaada wanaitumia vibaya kama kwenda kununua “Ray-Ban sunglasses, apartments in Paris, Ferraris and all the rest of it”.
Ufisadi umefikia sehemu mbaya mpaka hawa watu wanaona jinsi viongozi wetu wanavyocheza misaada tunayopewa.
No comments:
Post a Comment